Judges 3:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli wakamtumikia Egloni mfalme wa Moabu, kwa muda wa miaka kumi na minane.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli wakawa chini ya Egloni mfalme wa Moabu kwa muda wa miaka kumi na nane.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Israeli walimtumikia Egloni mfalme wa Moabu muda wa miaka kumi na minane.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli wakamtumikia Egloni mfalme wa Moabu, kwa muda wa miaka kumi na minane.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waisraeli wakawa chini ya Egloni mfalme wa Moabu kwa muda wa miaka kumi na minane.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waisraeli wakawa chini ya Egloni mfalme wa Moabu kwa muda wa miaka kumi na minane.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Israeli walimtumikia Egloni mfalme wa Moabu muda wa miaka kumi na minane.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli wakamtumikia Egloni mfalme wa Moabu, kwa muda wa miaka kumi na minane.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Waisiraeli wakamtumikia Egloni, mfalme wa Moabu, miaka 18.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Israeli walimtumikia Egloni mfalme wa Moabu muda wa miaka kumi na minane.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli wakamutumikia Mwana-Ngombe, mufalme wa Moabu, kwa muda wa miaka kumi na minane.