Judges 3:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ehudi alipomaliza kutoa zawadi, akawaambia watu waliobeba zawadi, waondoke.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya Ehudi kumkabidhi ule ushuru, akawatuma wale watu waliokuwa wameubeba huo ushuru waende zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye hapo alipokuwa amekwisha kuisongeza hiyo tunu, akawapa ruhusa watu hao walioichukua tunu, wakaenda zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ehudi alipomaliza kutoa zawadi, akawaambia watu waliobeba zawadi, waondoke.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya Ehudi kumkabidhi ule ushuru, wale watu waliokuwa wameubeba huo ushuru aliwaruhusu waende zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya Ehudi kumkabidhi ule ushuru, wale watu waliokuwa wameubeba huo ushuru aliwaruhusu waende zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye hapo alipomaliza kuitoa hiyo tunu, akawapa ruhusa watu hao walioichukua tunu, wakaenda zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ehudi alipomaliza kutoa zawadi, akawaambia watu waliobeba zawadi, waondoke.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokwisha kumpelekea hayo mahongo, akawapa wale watu waliochukua mahongo ruhusa kwenda zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye hapo alipokuwa amekwisha kuisongeza hiyo tunu, akawapa ruhusa watu hao walioichukua tunu, wakaenda zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ehudu alipomaliza kutoa zawadi, akawaambia watu waliobeba zawadi waondoke.