Judges 3:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(alifanya hivyo ili awape watu wa vizazi hivyo ujuzi wa kupigana kwani hawakuwa wameona vita):
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(alifanya hivi ili tu kuwafundisha vita wazao wa Waisraeli ambao hawakuwa na uzoefu wa vita hapo awali):
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili kwamba vizazi vya wana wa Israeli wapate kujua ili kuwafundisha vita, hasa wao ambao hawakujua vita kabla ya wakati ule;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
(alifanya hivyo ili awape watu wa vizazi hivyo ujuzi wa kupigana kwani hawakuwa wameona vita):
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(alifanya hivi ili tu kuwafundisha wazao wa Waisraeli ambao hawakuwa wamejua vita hapo awali):
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(alifanya hivi ili tu kuwafundisha wazao wa Waisraeli ambao hawakuwa wamejua vita hapo awali):
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili kwamba vizazi vya wana wa Israeli wapate kujua ili kuwafundisha vita, hasa hao ambao hawakujua vita kabla ya wakati ule;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
(alifanya hivyo ili awape watu wa vizazi hivyo ujuzi wa kupigana kwani hawakuwa wameona vita):
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huko ni kwamba tu: vizazi vingine vya wana wa Isiraeli wayajue, wapate kujifundisha mapigano, ni wale tu wasioyajua mapigano ya kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili kwamba vizazi vya wana wa Israeli wapate kujua ili kuwafundisha vita, hasa wao ambao hawakujua vita kabla ya wakati ule;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alifanya hivyo kusudi awape watu wa vizazi hivyo ujuzi wa kupigana maana hawakukuwa wameona vita.