Judges 3:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ehudi akauchomoa upanga wake kwa mkono wake wa kushoto kutoka paja lake la kulia, akamchoma nao tumboni mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ehudi akaunyoosha mkono wake wa kushoto na kuufuta ule upanga aliokuwa ameufunga kwenye paja lake la kulia, akamdunga Mfalme Egloni tumboni mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ehudi akaunyosha mkono wake wa kushoto, akaushika huo upanga kuutoa hapo katika paja lake la kuume, akamtia tumboni mwake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ehudi akauchomoa upanga wake kwa mkono wake wa kushoto kutoka paja lake la kulia, akamchoma nao tumboni mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ehudi akaunyoosha mkono wake wa kushoto na kuufuta ule upanga aliokuwa ameufunga kwenye paja lake la kulia na kuuchomeka tumboni mwa Mfalme Egloni kwa nguvu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ehudi akaunyoosha mkono wake wa kushoto na kuufuta ule upanga aliokuwa ameufunga kwenye paja lake la kulia, akamdunga Mfalme Egloni tumboni mwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ehudi akaunyosha mkono wake wa kushoto, akaushika huo upanga kuutoa hapo katika paja lake la kulia, akamtia tumboni mwake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ehudi akauchomoa upanga wake kwa mkono wake wa kushoto kutoka paja lake la kulia, akamchoma nao tumboni mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Ehudu alipoupeleka mkono wake wa kushoto, akauchomoa upanga penye paja lake la kuume, akamchoma tumboni;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ehudi akaunyosha mkono wake wa kushoto, akaushika huo upanga kuutoa hapo katika paja lake la kuume, akamtia tumboni mwake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ehudu akauchomoa upanga wake kwa mukono wake wa kushoto kutoka paja lake la kuume, akamuchoma nao katika tumbo lake.