Judges 3:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upanga ukaingia ndani pamoja na mpini wake, mafuta yakaufunika upanga huo kwani Ehudi hakuutoa tena; ukawa umetokea kwa nyuma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata mpini nao ukazama tumboni pamoja na upanga wenyewe, nao upanga ukatokea mgongoni mwake. Ehudi hakuuchomoa huo upanga, nayo mafuta yakashikamana juu ya upanga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hicho kipini nacho kikaingia ndani pamoja na huo upanga wenyewe; nayo mafuta yakashikamana tena juu ya upanga, kwani hakuutoa tena upanga tumboni; nao ukatokea kwa nyuma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upanga ukaingia ndani pamoja na mpini wake, mafuta yakaufunika upanga huo kwani Ehudi hakuutoa tena; ukawa umetokea kwa nyuma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata mpini nao ukazama tumboni pamoja na upanga wenyewe, nao upanga ukatokea mgongoni mwake. Ehudi hakuuchomoa huo upanga, nayo mafuta yakashikamana juu ya panga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata mpini nao ukazama tumboni pamoja na upanga wenyewe, nao upanga ukatokea mgongoni mwake. Ehudi hakuuchomoa huo upanga, nayo mafuta yakashikamana juu ya upanga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hicho kipini nacho kikaingia ndani pamoja na huo upanga wenyewe; nayo mafuta yakashikamana tena juu ya upanga, kwani hakuutoa tena upanga tumboni; nao ukatokea kwa nyuma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upanga ukaingia ndani pamoja na mpini wake, mafuta yakaufunika upanga huo kwani Ehudi hakuutoa tena; ukawa umetokea kwa nyuma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hata kipini kikaingia ndani pamoja na chuma cha upanga, nayo mafuta yakapafungia palipoingia upanga, kwani hakuutoa upanga tumboni, nao ulitokea nyuma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hicho kipini nacho kikaingia ndani pamoja na huo upanga wenyewe; nayo mafuta yakashikamana tena juu ya upanga, kwani hakuutoa tena upanga tumboni; nao ukatokea kwa nyuma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Upanga ukaingia ndani pamoja na mupini wake, mafuta yakaufunika upanga ule maana Ehudu hakuutoa tena; ukakuwa umetokea kwa nyuma.