Judges 3:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, Ehudi akatoka nje barazani baada ya kuifunga milango ya chumba hicho kwa ufunguo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ehudi akatoka nje barazani; akamfungia milango ya chumba cha juu, na kuifunga kwa funguo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Ehudi akatoka nje barazani, akamfungia milango ya hicho chumba na kuifunga kwa ufunguo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, Ehudi akatoka nje barazani baada ya kuifunga milango ya chumba hicho kwa ufunguo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ehudi akatoka nje barazani; akamfungia milango ya chumba cha juu na kuifunga kwa funguo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ehudi akatoka nje barazani; akamfungia milango ya chumba cha juu na kuifunga kwa funguo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Ehudi akatoka nje barazani, akamfungia kwenye chumba na kufunga milango ya chumba hicho kwa ufunguo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, Ehudi akatoka nje barazani baada ya kuifunga milango ya chumba hicho kwa ufunguo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Ehudu akatoka, akaja barazani, akaifunga milango ya kile chumba cha juu nyuma yake kwa komeo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Ehudi akatoka nje barazani, akamfungia milango ya hicho chumba na kuifunga kwa ufunguo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, Ehudu akatoka inje ndani ya baraza kisha kuifunga milango ya chumba hicho kwa ufunguo.