Judges 3:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakangojea mpaka wakaanza kuwa na wasiwasi. Walipoona hafungui, wakachukua ufunguo na kufungua mlango. Wakamwona mfalme wao sakafuni, naye amekufa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakangoja hadi wakawa na fadhaa, na wakati hakuifungua milango ya chumba, wakachukua funguo na kuifungua. Tazama, wakaona bwana wao amelala sakafuni, amekufa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakangoja hata wakatahayari; na tazama, hakuifungua milango ya chumba; basi wakatwaa ufunguo, na kuifungua; na tazama, bwana wao alikuwa ameanguka nchi, naye amekufa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakangojea mpaka wakaanza kuwa na wasiwasi. Walipoona hafungui, wakachukua ufunguo na kufungua mlango. Wakamwona mfalme wao sakafuni, naye amekufa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakangoja hata wakawa na fadhaa, basi alipokuwa hakufungua milango ya chumba, wakachukua funguo na kuifungua. Tazama wakaona bwana wao amelala sakafuni, amekufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakangoja hata wakawa na fadhaa, basi wakati hakufungua milango ya chumba, wakachukua funguo na kuifungua. Tazama wakaona bwana wao amelala sakafuni, amekufa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakangoja hadi wakatahayari; na tazama, hakuifungua milango ya chumba; basi wakatwaa ufunguo, na kuifungua; na tazama, bwana wao alikuwa ameanguka chini, naye amekufa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakangojea mpaka wakaanza kuwa na wasiwasi. Walipoona hafungui, wakachukua ufunguo na kufungua mlango. Wakamwona mfalme wao sakafuni, naye amekufa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakangoja kwa kuona soni, lakini walipoona ya kuwa hakuna anayeifungua milango ya chumba, wakachukua ufunguo, wakaifungua, mara wakamwona bwana wao, akilala chini, maana amekufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakangoja hata wakatahayari; na tazama, hakuifungua milango ya chumba; basi wakatwaa ufunguo, na kuifungua; na tazama, bwana wao alikuwa ameanguka nchi, naye amekufa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakangojea mpaka wakaanza kuona wasiwasi. Walipoona hafungui, wakatwaa ufunguo na kufungua mulango. Wakamwona mufalme wao chini, naye amekufa.