Judges 3:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya Ehudi mwana wa Anati, Shamgari alishika nafasi yake. Yeye aliwaua Wafilisti 600 kwa fimbo ya kuchungia ng'ombe. Naye pia aliwakomboa Waisraeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya Ehudi akaja Shamgari mwana wa Anathi, aliyewapiga Wafilisti mia sita kwa fimbo ya ng’ombe. Naye pia akawaokoa Waisraeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena baada yake huyo alikuwapo Shamgari mwana wa Anathi, aliyepiga katika Wafilisti watu mia sita kwa konzo la ng'ombe; yeye naye aliwaokoa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya Ehudi mwana wa Anati, Shamgari alishika nafasi yake. Yeye aliwaua Wafilisti 600 kwa fimbo ya kuchungia ng'ombe. Naye pia aliwakomboa Waisraeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya Ehudi akaja Shamgari mwana wa Anathi, aliyewapiga Wafilisti 600 kwa fimbo iliyochongoka ya kuongozea ng'ombe. Naye pia akawaokoa Waisraeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya Ehudi akaja Shamgari mwana wa Anathi, aliyewapiga Wafilisti 600 kwa fimbo iliyochongoka ya kuongozea ng’ombe. Naye pia akawaokoa Waisraeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena baada ya Ehudi alikuwapo Shamgari mwana wa Anathi, aliyewaua Wafilisti watu mia sita kwa fimbo ya kuswagia ng'ombe; naye aliwaokoa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya Ehudi mwana wa Anati, Shamgari alishika nafasi yake. Yeye aliwaua Wafilisti 600 kwa fimbo ya kuchungia ng'ombe. Naye pia aliwakomboa Waisraeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliyemfuata ni Samugari, mwana wa Anati; akaua Wafilisti watu 600 kwa fimbo tu la kuchungia ng'ombe; hivyo yeye naye aliwaokoa Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena baada yake huyo alikuwapo Shamgari mwana wa Anathi, aliyepiga katika Wafilisti watu mia sita kwa konzo la ng’ombe; yeye naye aliwaokoa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya Ehudu mwana wa Anati, Samugari akakamata nafasi yake. Yeye aliwaua Wafilistini mia sita kwa fimbo ya kuchunga ngombe. Naye vilevile aliwakomboa Waisraeli.