Judges 3:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu alikusudia kuwatumia hao ili awajaribu Waisraeli, aone kama watatii amri zake alizowaamuru wazee wao kwa njia ya Mose.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliachwa ili kuwajaribu Waisraeli, kuona kama wangetii amri za Mwenyezi Mungu, alizokuwa amewapa baba zao kwa mkono wa Musa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye aliwaacha ili awajaribu Israeli kwa hao, apate kujua kwamba watasikiliza amri za Bwana, alizowaamuru baba zao, kwa mkono wa Musa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu alikusudia kuwatumia hao ili awajaribu Waisraeli, aone kama watatii amri zake alizowaamuru wazee wao kwa njia ya Mose.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliachwa ili kuwajaribu Waisraeli kuona kama wangetii amri za BWANA, alizokuwa amewapa baba zao kwa mkono wa Mose.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliachwa ili kuwajaribu Waisraeli kuona kama wangetii amri za bwana, alizokuwa amewapa baba zao kwa mkono wa Musa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye aliwaacha ili awajaribu Israeli kwa hao, apate kujua kwamba watasikiliza amri za BWANA, alizowaamuru baba zao, kwa mkono wa Musa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu alikusudia kuwatumia hao ili awajaribu Waisraeli, aone kama watatii amri zake alizowaamuru wazee wao kwa njia ya Mose.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao ndio, aliowataka wa kuwajaribu Waisiraeli, ajue, kama watayasikia maagizo ya Bwana, aliyowaagiza baba zao kinywani mwa Mose.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye aliwaacha ili awajaribu Israeli kwa hao, apate kujua kwamba watasikiliza amri za BWANA, alizowaamuru baba zao, kwa mkono wa Musa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe alikusudia kuwatumia hao kusudi awajaribu Waisraeli, aone kama watatii amri zake alizowaamuru wazee wao kwa njia ya Musa.