Judges 3:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakaoa binti zao na kuoza binti zao kwa vijana wa mataifa hayo na kuiabudu miungu yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaoa binti za hao mataifa, na wakawatoa binti zao wenyewe waolewe na wana wa hao mataifa, na wakaitumikia miungu yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakawaoa binti zao, na binti zao wenyewe wakawaoza wana wao waume, na kuitumikia miungu yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakaoa binti zao na kuoza binti zao kwa vijana wa mataifa hayo na kuiabudu miungu yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakawaoa binti zao, nao wakawatoa binti zao waolewe na wana wa hayo mataifa, na kuitumikia miungu yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakawaoa binti zao, nao wakawatoa binti zao waolewe na wana wa hayo mataifa, na kuitumikia miungu yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakawaoa binti zao, na binti zao wenyewe wakawaoza wana wao wa kiume, na kuitumikia miungu yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakaoa binti zao na kuoza binti zao kwa vijana wa mataifa hayo na kuiabudu miungu yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakawachukua wana wao wa kike, wawe wake zao, nao wana wao wa kike wakawapa wana wao wa kiume, nayo miungu yao wakaitumikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakawaoa binti zao, na binti zao wenyewe wakawaoza wana wao waume, na kuitumikia miungu yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaoa wabinti zao na kuoesha wabinti zao kwa vijana wa mataifa hayo na kuiabudu miungu yao.