Judges 3:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli walitenda uovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; wakamsahau Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, wakaabudu Mabaali na Maashera.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli wakafanya maovu machoni pa Mwenyezi Mungu, wakamsahau Mwenyezi Mungu, Mungu wao, na kutumikia Mabaali na Maashera.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Israeli walifanya yaliyo maovu mbele za macho ya Bwana, nao wakamsahau Bwana, Mungu wao, nao wakawatumikia Mabaali na Maashtorethi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli walitenda uovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; wakamsahau Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, wakaabudu Mabaali na Maashera.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waisraeli wakafanya maovu machoni pa BWANA, wakamsahau BWANA Mungu wao na kutumikia Mabaali na Maashera.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waisraeli wakafanya maovu machoni pa bwana, wakamsahau bwana Mwenyezi Mungu wao na kutumikia Mabaali na Maashera.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Israeli walifanya yaliyo maovu mbele za macho ya BWANA, nao wakamsahau BWANA, Mungu wao, nao wakawatumikia Mabaali na Maashtorethi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli walitenda uovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; wakamsahau Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, wakaabudu Mabaali na Maashera.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Isiraeli walipoyafanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana, wakimsahau Bwana Mungu wao, watumikie vinyago vya Baali na vya Ashera,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Israeli walifanya yaliyo maovu mbele za macho ya BWANA, nao wakamsahau BWANA, Mungu wao, nao wakawatumikia Mabaali na Maashtorethi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli walitenda uovu mbele ya Yawe. Wakamusahau Yawe, Mungu wao, wakaabudu Mabali na Maashera.