Judges 4:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya kifo cha Ehudi, Waisraeli walitenda tena uovu mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya Ehudi kufa, Waisraeli wakafanya tena maovu machoni pa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata alipokufa Ehudi, wana wa Israeli wakafanya yaliyo maovu tena mbele za macho ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya kifo cha Ehudi, Waisraeli walitenda tena uovu mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya Ehudi kufa, Waisraeli wakafanya tena maovu machoni pa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya Ehudi kufa, Waisraeli wakafanya tena maovu machoni pa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata alipokufa Ehudi, wana wa Israeli wakafanya yaliyo maovu tena mbele za macho ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya kifo cha Ehudi, Waisraeli walitenda tena uovu mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Isiraeli walipoendelea kuyafanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana, Ehudu alipokwisha kufa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata alipokufa Ehudi, wana wa Israeli wakafanya yaliyo maovu tena mbele za macho ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya kifo cha Ehudu, Waisraeli walitenda tena uovu mbele ya Yawe.