Judges 4:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baraki akayaita makabila ya Naftali na Zebuluni huko Kedeshi; watu 10,000 wakamfuata. Debora akaenda pamoja naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambapo Baraka aliwaita Zabuloni na Naftali. Watu elfu kumi wakamfuata Baraka, na Debora pia akaenda naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baraka akawakutanisha Naftali na Zabuloni waende Kedeshi wakakwea watu elfu kumi wakimfuata; Debora naye akaenda pamoja naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baraki akayaita makabila ya Naftali na Zebuluni huko Kedeshi; watu 10,000 wakamfuata. Debora akaenda pamoja naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mahali ambapo Baraka aliwaita Zabuloni na Naftali. Watu 10,000 wakamfuata Baraka, naye Debora pia akaenda pamoja naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mahali ambapo Baraka aliwaita Zabuloni na Naftali. Watu 10,000 wakamfuata Baraka, na Debora pia akaenda pamoja naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baraka akawakutanisha Naftali na Zabuloni waende Kedeshi wakakwea watu elfu kumi wakimfuata; Debora naye akaenda pamoja naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baraki akayaita makabila ya Naftali na Zebuluni huko Kedeshi; watu 10,000 wakamfuata. Debora akaenda pamoja naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baraka akawaita watu wa Zebuluni na wa Nafutali kuja Kedesi. Alipopata watu 10000 kwenda naye kwa miguu yao, Debora akaenda naye kupanda huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baraka akawakutanisha Naftali na Zabuloni waende Kedeshi wakakwea watu elfu kumi wakimfuata; Debora naye akaenda pamoja naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Baraka akayaita makabila ya Nafutali na Zebuluni kule Kedesi. Watu elfu kumi wakamufuata. Debora akaenda pamoja naye.