Judges 4:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sisera alipopata habari kwamba Baraki mwana wa Abinoamu amekwenda mlimani Tabori,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sisera alipoambiwa kuwa Baraka mwana wa Abinoamu alikuwa amepanda Mlima Tabori,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wakamwambia Sisera ya kwamba Baraka, mwana wa Abinoamu amekwea kwenda mlima wa Tabori.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sisera alipopata habari kwamba Baraki mwana wa Abinoamu amekwenda mlimani Tabori,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sisera alipoambiwa kuwa Baraka mwana wa Abinoamu alikuwa amepanda Mlima Tabori,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sisera alipoambiwa kuwa Baraka mwana wa Abinoamu alikuwa amepanda Mlima Tabori,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wakamwambia Sisera ya kwamba Baraka, mwana wa Abinoamu amekwea kwenda mlima wa Tabori.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sisera alipopata habari kwamba Baraki mwana wa Abinoamu amekwenda mlimani Tabori,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu walipompasha Sisera habari, ya kuwa Baraka, mwana wa Abinoamu, ameupanda mlima wa Tabori,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wakamwambia Sisera ya kwamba Baraka, mwana wa Abinoamu amekwea kwenda mlima wa Tabori.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sisera alipopata habari kwamba Baraka mwana wa Abinoamu amekwenda kwenye mulima Tabori,