Judges 4:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
alikusanya jeshi lake lote na magari yake mia tisa ya chuma, akaondoka Harosheth-hagoimu, akaenda kwenye mto Kishoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sisera akakusanya magari yake ya vita ya chuma mia tisa, na watu wote waliokuwa pamoja naye, kuanzia Haroshethi-Hagoyimu hadi Mto wa Kishoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sisera akayakusanya magari yake yote, naam, magari ya chuma mia kenda, na watu wote waliokuwa pamoja naye, toka Haroshethi wa Mataifa mpaka mto wa Kishoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
alikusanya jeshi lake lote na magari yake mia tisa ya chuma, akaondoka Harosheth-hagoimu, akaenda kwenye mto Kishoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sisera akakusanya pamoja magari yake yote 600 ya chuma na watu wote waliokuwa pamoja naye, kuanzia Haroshethi-Hagoyimu mpaka Mto wa Kishoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sisera akakusanya pamoja magari yake yote 600 ya chuma na watu wote waliokuwa pamoja naye, kuanzia Haroshethi-Hagoyimu mpaka Mto wa Kishoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sisera akayakusanya magari yake yote, naam, magari ya chuma mia tisa, na watu wote waliokuwa pamoja naye, toka Haroshethi wa Mataifa mpaka mto wa Kishoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
alikusanya jeshi lake lote na magari yake mia tisa ya chuma, akaondoka Harosheth-hagoimu, akaenda kwenye mto Kishoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sisera akaagiza, magari yake yote ya chuma 900 yakusanywe, nao watu wake wote watoke Haroseti wa Wamizimu, waje mtoni kwa Kisoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sisera akayakusanya magari yake yote, naam, magari ya chuma mia kenda, na watu wote waliokuwa pamoja naye, toka Haroshethi wa Mataifa mpaka mto wa Kishoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akakusanya waaskari wake wote na magari yake mia tisa ya chuma, akaondoka Haroseti-Hagoimu, akaenda kwenye muto Kisoni.