Judges 4:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Debora akamwambia Baraki, “Inuka! Leo ni siku ambayo Mwenyezi-Mungu atamtia Sisera mikononi mwako. Mwenyezi-Mungu anakwenda mbele yako.” Basi, Baraki akashuka kutoka mlimani Tabori akiwaongoza watu wake 10,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Debora akamwambia Baraka, “Nenda! Hii ndiyo siku ambayo Mwenyezi Mungu amemtia Sisera mikononi mwako. Je, Mwenyezi Mungu hakukutangulia mbele yako?” Hivyo Baraka akashuka kutoka Mlima Tabori, akifuatwa na watu elfu kumi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Debora akamwambia Baraka, Haya! Inuka; maana siku hii ndiyo siku ambayo Bwana amemtia Sisera katika mkono wako. Je! Bwana hakutoka atangulie mbele yako? Basi Baraka akashuka katika mlima wa Tabori, na watu elfu kumi wakamfuata.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Debora akamwambia Baraki, “Inuka! Leo ni siku ambayo Mwenyezi-Mungu atamtia Sisera mikononi mwako. Mwenyezi-Mungu anakwenda mbele yako.” Basi, Baraki akashuka kutoka mlimani Tabori akiwaongoza watu wake 10,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Debora akamwambia Baraka, “Nenda! Hii ndiyo siku ambayo BWANA amemtia Sisera mikononi mwako. Je, BWANA hakukutangulia mbele yako?” Hivyo Baraka akashuka kutoka Mlima Tabori, akifuatwa na watu 10,000.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Debora akamwambia Baraka, “Nenda! Hii ndiyo siku ambayo bwana amemtia Sisera mikononi mwako. Je, bwana hakukutangulia mbele yako?” Hivyo Baraka akashuka kutoka Mlima Tabori, akifuatwa na watu 10,000.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Debora akamwambia Baraka, Haya! Inuka; maana siku hii ndiyo siku ambayo BWANA amemtia Sisera katika mkono wako. Je! BWANA hakutoka atangulie mbele yako? Basi Baraka akashuka katika mlima wa Tabori, na watu elfu kumi wakamfuata.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Debora akamwambia Baraki, “Inuka! Leo ni siku ambayo Mwenyezi-Mungu atamtia Sisera mikononi mwako. Mwenyezi-Mungu anakwenda mbele yako.” Basi, Baraki akashuka kutoka mlimani Tabori akiwaongoza watu wake 10,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Debora alipomwambia Baraka: Inuka! Kwani hii ndiyo siku, Bwana atakayomtia Sisera mkononi mwako! Je? Bwana hakutoka mwenyewe kukuongoza? Kisha Baraka akashuka mlimani kwa Tabori, nao watu wake 10000 wakamfuata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Debora akamwambia Baraka, Haya! Inuka; maana siku hii ndiyo siku ambayo BWANA amemtia Sisera katika mkono wako. Je! BWANA hakutoka atangulie mbele yako? Basi Baraka akashuka katika mlima wa Tabori, na watu elfu kumi wakamfuata.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Debora akamwambia Baraka: “Simama! Leo ni siku ambayo Yawe atamutia Sisera katika mikono yako. Yawe anakwenda mbele yako.” Basi, Baraka akashuka kutoka kwenye mulima Tabori akiwaongoza watu wake elfu kumi.