Judges 4:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yaeli akatoka kumlaki Sisera, akamwambia, “Bwana wangu, karibu kwangu, wala usiogope.” Akaingia hemani mwake, akamfunika kwa blanketi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yaeli akaenda kumlaki Sisera na kumwambia, “Karibu, bwana wangu, karibu ingia ndani kabisa. Usiogope.” Basi Sisera akaingia ndani ya hema la Yaeli, naye akamfunika kwa blanketi nene.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yaeli akatoka kwenda kumlaki Sisera, akamwambia, Karibu Bwana wangu, karibu kwangu; usiogope. Akakaribia kwake hemani, naye akamfunika kwa bushuti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yaeli akatoka kumlaki Sisera, akamwambia, “Bwana wangu, karibu kwangu, wala usiogope.” Akaingia hemani mwake, akamfunika kwa blanketi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yaeli akaenda kumlaki Sisera na kumwambia, “Karibu, bwana wangu, karibu ingia ndani kabisa. Usiogope.” Basi Sisera akaingia ndani ya hema ya Yaeli, naye akamfunika kwa blanketi nene.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yaeli akaenda kumlaki Sisera na kumwambia, “Karibu, bwana wangu, karibu ingia ndani kabisa. Usiogope.” Basi Sisera akaingia ndani ya hema ya Yaeli, naye akamfunika kwa blanketi nene.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yaeli akatoka kwenda kumlaki Sisera, akamwambia, Karibu Bwana wangu, karibu kwangu; usiogope. Akakaribia kwake hemani, naye akamfunika kwa bushuti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yaeli akatoka kumlaki Sisera, akamwambia, “Bwana wangu, karibu kwangu, wala usiogope.” Akaingia hemani mwake, akamfunika kwa blanketi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yaeli akatoka kumwendea Sisera njiani, akamwambia: Njoo, bwana wangu! Jiingilie mwangu, usiogope! Ndipo, alipoingia hemani mwake, naye akamfunika kwa blanketi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yaeli akatoka kwenda kumlaki Sisera, akamwambia, Karibu Bwana wangu, karibu kwangu; usiogope. Akakaribia kwake hemani, naye akamfunika kwa bushuti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yaeli akaenda kumupokea Sisera, akamwambia: “Bwana wangu, karibu kwangu, wala usiogope.” Akaingia ndani ya hema yake. Yaeli akamufunika kwa blanketi.