Judges 4:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sisera akamwambia Yaeli, “Tafadhali, nipe maji kidogo ninywe, maana nina kiu.” Akampa maziwa badala ya maji, kisha akamfunika tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamwambia, “Nina kiu, tafadhali nipe maji ya kunywa.” Ndipo akafungua kiriba cha maziwa na kumpa akanywa, kisha akamfunika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia, Tafadhali nipe maji kidogo ninywe; maana nina kiu. Akafungua chupa ya maziwa, akampa kunywa, akamfunika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sisera akamwambia Yaeli, “Tafadhali, nipe maji kidogo ninywe, maana nina kiu.” Akampa maziwa badala ya maji, kisha akamfunika tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamwambia, “Nina kiu, tafadhali nipe maji ya kunywa.” Ndipo akafungua kiriba cha maziwa na kumpa akanywa, kisha akamfunika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamwambia, “Nina kiu, tafadhali nipe maji ya kunywa.” Ndipo akafungua kiriba cha maziwa na kumpa akanywa, kisha akamfunika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia, Tafadhali nipe maji kidogo ninywe; maana nina kiu. Akafungua chupa ya maziwa, akampa kunywa, akamfunika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sisera akamwambia Yaeli, “Tafadhali, nipe maji kidogo ninywe, maana nina kiu.” Akampa maziwa badala ya maji, kisha akamfunika tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akamwambia: Nipe maji kidogo, ninywe! Kwani nina kiu. Akafungua kiriba cha maziwa, akamnywesha, kisha akamfunika tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia, Tafadhali nipe maji kidogo ninywe; maana nina kiu. Akafungua chupa ya maziwa, akampa kunywa, akamfunika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sisera akamwambia Yaeli: “Tafazali, unipe maji kidogo nikunywe, maana nina kiu.” Akamupa maziwa pahali pa maji, kisha akamufunika tena.