Judges 4:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sisera akamwambia, “Simama mlangoni mwa hema. Mtu yeyote akija kukuuliza kama kuna mtu yeyote hapa, mwambie hakuna.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Sisera akamwambia, “Simama mlangoni pa hema na mtu yeyote akija na kukuuliza, ‘Je, kuna mtu yeyote hapa?’ sema, ‘Hapana.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akamwambia, Simama mlangoni pa hema; kisha itakuwa mtu awaye yote akija na kukuuliza, akisema, Je! Yupo mtu hapa, basi, mjibu, La, hapana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sisera akamwambia, “Simama mlangoni mwa hema. Mtu yeyote akija kukuuliza kama kuna mtu yeyote hapa, mwambie hakuna.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye Sisera akamwambia, “Simama mlangoni pa hema na mtu ye yote akija na kukuuliza, ‘Je, kuna mtu ye yote hapa?’ sema, ‘Hapana.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye Sisera akamwambia, “Simama mlangoni pa hema na mtu yeyote akija na kukuuliza, ‘Je, kuna mtu yeyote hapa?’ sema, ‘Hapana.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akamwambia, Simama mlangoni pa hema; kisha itakuwa mtu yeyote akija na kukuuliza, akisema, Je! Yupo mtu hapa, basi, mjibu, La, hapana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sisera akamwambia, “Simama mlangoni mwa hema. Mtu yeyote akija kukuuliza kama kuna mtu yeyote hapa, mwambie hakuna.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwambia: Simama langoni mwa hema! Kama mtu anakuja kukuuliza kwamba: Yumo mtu? mwambie: Hapana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akamwambia, Simama mlangoni pa hema; kisha itakuwa mtu awaye yote akija na kukuuliza, akisema, Je! Yupo mtu hapa, basi, mjibu, La, hapana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sisera akamwambia: “Simama kwenye mulango wa hema. Mutu yeyote akikuja kukuuliza kama kuna mutu yeyote hapa, umwambie hakuna.”