Judges 4:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, siku hiyo Mungu akawapa Waisraeli ushindi juu ya mfalme Yabini wa Kanaani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi siku ile Mungu akamshinda Yabini, mfalme wa Kanaani, mbele ya Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi hivyo Mungu akamshinda Yabini, mfalme wa Kanaani mbele ya wana wa Israeli siku hiyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, siku hiyo Mungu akawapa Waisraeli ushindi juu ya mfalme Yabini wa Kanaani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi siku ile Mungu akamshinda Yabini, mfalme wa Kanaani, mbele ya Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi siku ile Mungu akamshinda Yabini, mfalme wa Kanaani, mbele ya Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi hivyo Mungu akamshinda Yabini, mfalme wa Kanaani mbele ya wana wa Israeli siku hiyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, siku hiyo Mungu akawapa Waisraeli ushindi juu ya mfalme Yabini wa Kanaani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hiyo ndipo, Mungu alipomnyenyekeza Yabini, mfalme wa Kanaani, machoni pao wana wa Isiraeli; nayo mikono yao wana wa Isiraeli ikazidi kumlemea Yabini, mfalme wa Kanaani, mpaka wakimwangamiza kabisa huyo Yabini, mfalme wa Kanaani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi hivyo Mungu akamshinda Yabini, mfalme wa Kanaani mbele ya wana wa Israeli siku hiyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo, siku hiyo Mungu akawapa Waisraeli ushindi juu ya mufalme Asikie wa Kanana.