Judges 4:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baraki akamwambia Debora, “Kama utakwenda pamoja nami, nitakwenda. Lakini usipokwenda pamoja nami, sitakwenda.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baraka akamwambia, “Ukienda pamoja nami nitaenda, lakini usipoenda pamoja nami, sitaenda.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baraka akamwambia, Kama utakwenda pamoja nami ndipo nitakwenda; bali kama huendi pamoja nami, mimi siendi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baraki akamwambia Debora, “Kama utakwenda pamoja nami, nitakwenda. Lakini usipokwenda pamoja nami, sitakwenda.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baraka akamwambia, “Ukienda pamoja nami nitakwenda, lakini usipokwenda pamoja nami, sitakwenda.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baraka akamwambia, “Ukienda pamoja nami nitakwenda, lakini usipokwenda pamoja nami, sitakwenda.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baraka akamwambia, Kama utakwenda pamoja nami ndipo nitakwenda; bali kama huendi pamoja nami, mimi siendi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baraki akamwambia Debora, “Kama utakwenda pamoja nami, nitakwenda. Lakini usipokwenda pamoja nami, sitakwenda.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baraka akamwambia: Ukienda pamoja nami, basi, nitakwenda. lakini usipokwenda pamoja nami, sitakwenda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baraka akamwambia, Kama utakwenda pamoja nami ndipo nitakwenda; bali kama huendi pamoja nami, mimi siendi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Baraka akamwambia Debora: “Kama utakwenda pamoja nami, nitakwenda. Lakini usipokwenda pamoja nami, sitakwenda.”