Judges 4:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Debora akamjibu, “Sawa. Nitakwenda pamoja nawe; lakini hutapata heshima yoyote ya ushindi, maana Mwenyezi-Mungu, atamtia Sisera mikononi mwa mwanamke.” Basi, Debora akafuatana na Baraki kwenda Kedeshi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Debora akamwambia, “Hakika nitaenda pamoja nawe, lakini njia unayoiendea haitakupa heshima wewe, kwa kuwa Mwenyezi Mungu atamtia Sisera mikononi mwa mwanamke.” Hivyo Debora akaenda pamoja na Baraka hadi Kedeshi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akasema, Hakika nitakwenda pamoja nawe, lakini safari utakayoiendea haitakupatia heshima wewe; maana Bwana atamwuza Sisera katika mkono wa mwanamke. Debora akainuka, akaenda pamoja na Baraka mpaka Kedeshi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Debora akamjibu, “Sawa. Nitakwenda pamoja nawe; lakini hutapata heshima yoyote ya ushindi, maana Mwenyezi-Mungu, atamtia Sisera mikononi mwa mwanamke.” Basi, Debora akafuatana na Baraki kwenda Kedeshi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Debora akamwambia, “Hakika nitakwenda pamoja nawe, lakini njia unayoiendea haitakupa heshima wewe, kwa kuwa BWANA atamtia Sisera mikononi mwa mwanamke.” Hivyo Debora akaenda pamoja na Baraka mpaka Kedeshi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Debora akamwambia, “Hakika nitakwenda pamoja nawe, lakini njia unayoiendea haitakupa heshima wewe, kwa kuwa bwana atamtia Sisera mikononi mwa mwanamke.” Hivyo Debora akaenda pamoja na Baraka mpaka Kedeshi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akasema, Hakika nitakwenda pamoja nawe, lakini safari utakayoiendea haitakupatia heshima wewe; maana BWANA atamwuza Sisera katika mkono wa mwanamke. Debora akainuka, akaenda pamoja na Baraka mpaka Kedeshi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Debora akamjibu, “Sawa. Nitakwenda pamoja nawe; lakini hutapata heshima yoyote ya ushindi, maana Mwenyezi-Mungu, atamtia Sisera mikononi mwa mwanamke.” Basi, Debora akafuatana na Baraki kwenda Kedeshi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwambia: Nitakwenda pamoja na wewe; lakini ujue: matukuzo ya njia hii, unayokwenda, hayatakuwa yako, kwani Bwana atamtia Sisera mkononi mwa mwanamke. Kisha Debora akaondoka, akaenda Kedesi pamoja na Baraka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akasema, Hakika nitakwenda pamoja nawe, lakini safari utakayoiendea haitakupatia heshima wewe; maana BWANA atamwuza Sisera katika mkono wa mwanamke. Debora akainuka, akaenda pamoja na Baraka mpaka Kedeshi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Debora akamujibu: “Sawa. Nitakwenda pamoja nawe; lakini hautapata heshima yoyote ya ushindi, maana Yawe, atamutia Sisera katika mikono ya mwanamuke.” Basi, Debora akafuatana na Baraka kwenda Kedesi.