Judges 5:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hiyo, Debora na Baraki, mwana wa Abinoamu, wakaimba wimbo huu:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku hiyo Debora na Baraka mwana wa Abinoamu wakaimba wimbo huu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Debora, na Baraka mwana wa Abinoamu, wakaimba siku ile, wakisema;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hiyo, Debora na Baraki, mwana wa Abinoamu, wakaimba wimbo huu:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Debora na Baraka mwana wa Abinoamu wakaimba wimbo huu:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Debora na Baraka mwana wa Abinoamu wakaimba wimbo huu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Debora, na Baraka mwana wa Abinoamu, wakaimba siku ile, wakisema;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hiyo, Debora na Baraki, mwana wa Abinoamu, wakaimba wimbo huu:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ile Debora na Baraka, mwana wa Abinoamu, wakaimba kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Debora, na Baraka mwana wa Abinoamu, wakaimba siku ile, wakisema;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku hiyo, Debora na Baraka mwana wa Abinoamu, wakaimba wimbo huu: