Judges 5:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Imbeni kupita wanamuziki kwenye visima vya maji, tangazeni ushindi wa Mwenyezi-Mungu, ushindi kwa wakulima wake katika Israeli. Ndipo watu wa Mwenyezi-Mungu waliposhuka malangoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kuhusu sauti za waimbaji mahali pa kunyweshea maji. Wanasimulia matendo ya haki ya Mwenyezi Mungu, matendo ya haki ya mashujaa wake katika Israeli. “Ndipo watu wa Mwenyezi Mungu walipoteremka malangoni pa mji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbali na kelele za hao wapigao mishale, katika mahali pa kuteka maji, Hapo watatangaza matendo ya haki ya Bwana; Naam, matendo ya haki ya kutawala kwake katika Israeli. Ndipo watu wa Bwana waliposhuka malangoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Imbeni kupita wanamuziki kwenye visima vya maji, tangazeni ushindi wa Mwenyezi-Mungu, ushindi kwa wakulima wake katika Israeli. Ndipo watu wa Mwenyezi-Mungu waliposhuka malangoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
juu ya sauti za waimbaji mahali pa kunyweshea maji. Wanasimulia matendo ya haki ya BWANA, matendo ya haki ya mashujaa wake katika Israeli. “Ndipo watu wa BWANA walipotelemka malangoni pa mji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
juu ya sauti za waimbaji mahali pa kunyweshea maji. Wanasimulia matendo ya haki ya bwana, matendo ya haki ya mashujaa wake katika Israeli. “Ndipo watu wa bwana walipoteremka malangoni pa mji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbali na kelele za hao wapigao mishale, katika mahali pa kuteka maji, Hapo watatangaza matendo ya haki ya BWANA; Naam, matendo ya haki ya kutawala kwake katika Israeli. Ndipo watu wa BWANA waliposhuka malangoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Imbeni kupita wanamuziki kwenye visima vya maji, tangazeni ushindi wa Mwenyezi-Mungu, ushindi kwa wakulima wake katika Israeli. Ndipo watu wa Mwenyezi-Mungu waliposhuka malangoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wapiga mishale wanapocheza pamoja nao wachota maji, ndipo wayatangaze matendo ya Bwana yaongokayo, hayo matendo yaongokayo ndiyo, aliyowatendea wao waliokuwa wakulima kwao Waisiraeli. Ndipo, watu wa Bwana waliposhuka kufika malangoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbali na kelele za hao wapigao mishale, katika mahali pa kuteka maji, Hapo watatangaza matendo ya haki ya BWANA; Naam, matendo ya haki ya kutawala kwake katika Israeli. Ndipo watu wa BWANA waliposhuka malangoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwenye visima vya maji, tangaza ushindi wa Yawe, ushindi kwa walimaji wake katika Israeli. Watu wa Yawe walishuka kwenye mulango wa muji.