Judges 5:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Amka, amka, Debora! Amka! Amka uimbe wimbo! Amka, Baraki mwana wa Abinoamu, uwachukue mateka wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
‘Amka, amka! Debora! Amka, amka, uimbe! Ee Baraka! Inuka, chukua mateka wako uliowateka, ee mwana wa Abinoamu.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amka, amka, Debora; Amka, amka, imba wimbo. Inuka, Baraka, wachukue mateka wao Waliokuchukua mateka, Ee mwana wa Abinoamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Amka, amka, Debora! Amka! Amka uimbe wimbo! Amka, Baraki mwana wa Abinoamu, uwachukue mateka wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
‘Amka, amka! Debora! Amka, amka, uimbe! Ee Baraka! Inuka, chukua mateka wako uliowateka, Ee mwana wa Abinoamu.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
‘Amka, amka! Debora! Amka, amka, uimbe! Ee Baraka! Inuka, chukua mateka wako uliowateka, ee mwana wa Abinoamu.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amka, amka, Debora; Amka, amka, imba wimbo. Inuka, Baraka, wachukue mateka wao Waliokuchukua mateka, Ee mwana wa Abinoamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Amka, amka, Debora! Amka! Amka uimbe wimbo! Amka, Baraki mwana wa Abinoamu, uwachukue mateka wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Amka! Amka, Debora! Amka! Amka, uimbe wimbo! Inuka, Baraka, upate kuwateka wanaotaka kukuteka, mwana wa Abinoamu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amka, amka, Debora; Amka, amka, imba wimbo. Inuka, Baraka, wachukue mateka wao Waliokuchukua mateka, Ee mwana wa Abinoamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Amuka, amuka, Debora! Amuka! Amuka uimbe wimbo! Amuka, Baraka mwana wa Abinoamu, uwakamate wafungwa wako.