Judges 5:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka Efraimu waliteremka bondeni, wakafuata ndugu zao watu wa Benyamini; kutoka Makiri walishuka makamanda, kutoka Zebuluni maofisa wakuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadhi yao walitoka Efraimu, ambao chimbuko lao ni Amaleki; Benyamini alikuwa miongoni mwa watu waliokufuata. Kutoka Makiri wakashuka viongozi, na kutoka Zabuloni wale washikao fimbo ya jemadari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kutoka Efraimu walitelemka wao ambao shina lao ni katika Amaleki, Nyuma yako, Benyamini, kati ya watu wako. Kutoka Makiri walishuka maliwali, Na kutoka Zabuloni wao washikao fimbo ya mwandishi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka Efraimu waliteremka bondeni, wakafuata ndugu zao watu wa Benyamini; kutoka Makiri walishuka makamanda, kutoka Zebuluni maofisa wakuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka Efraimu wakaja watu, ambao chimbuko lao ni Amaleki; Benyamini akiwa miongoni mwa watu waliokufuata. Kutoka Makiri wakashuka viongozi, na kutoka Zabuloni wale washikao fimbo ya jemadari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka Efraimu wakaja watu, ambao chimbuko lao ni Amaleki; Benyamini akiwa miongoni mwa watu waliokufuata. Kutoka Makiri wakashuka viongozi, na kutoka Zabuloni wale washikao fimbo ya jemadari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kutoka Efraimu waliteremka wao ambao shina lao ni katika Amaleki, Nyuma yako, Benyamini, kati ya watu wako. Kutoka Makiri walishuka makamanda, Na kutoka Zabuloni wao washikao fimbo ya mwandishi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka Efraimu waliteremka bondeni, wakafuata ndugu zao watu wa Benyamini; kutoka Makiri walishuka makamanda, kutoka Zebuluni maofisa wakuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Efuraimu ndiko, walikotoka waliozaliwa Amaleki, Wabenyamini nao wakakufuata pamoja na watu wako wengi, kwao Wamakiri wakatoka wajuao kuongoza watu, kwao Wazebuluni wakatoka wao walioshika bakora, nazo zilikuwa zao waandaliaji wa vita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kutoka Efraimu walitelemka wao ambao shina lao ni katika Amaleki, Nyuma yako, Benyamini, kati ya watu wako. Kutoka Makiri walishuka maliwali, Na kutoka Zabuloni wao washikao fimbo ya mwandishi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka Efuraimu waliteremuka katika bonde, wakafuata wandugu zao watu wa Benjamina; kutoka Makiri, majemadari walishuka, kutoka Zebuluni, wenye fimbo ya mutawala.