Judges 5:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakuu wa Isakari wakafuatana na Debora, watu wa Isakari waaminifu kwa Baraki; wakamfuata mbio mpaka bondeni. Lakini miongoni mwa koo za Reubeni kulikuwamo kusitasita kwingi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakuu wa Isakari walikuwa pamoja na Debora; naam, Isakari alikuwa pamoja na Baraka, wakija nyuma yake kwa mbio wakielekea bondeni. Katika jamaa za Reubeni, palikuwa na kujihoji kukubwa moyoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wakuu wa Isakari walikuwa pamoja na Debora. Kama alivyokuwa Isakari, ndivyo alivyokuwa Baraka. Waliingia bondeni kwa kasi miguuni pake. Kwenye vijito vya Reubeni Palikuwa na makusudi makuu mioyoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakuu wa Isakari wakafuatana na Debora, watu wa Isakari waaminifu kwa Baraki; wakamfuata mbio mpaka bondeni. Lakini miongoni mwa koo za Reubeni kulikuwamo kusitasita kwingi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakuu wa Isakari walikuwa pamoja na Debora; naam, Isakari alikuwa pamoja na Baraka, wakija nyuma yake kwa mbio wakielekea bondeni. Katika jamaa za Reubeni, palikuwa na kujihoji kukubwa moyoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakuu wa Isakari walikuwa pamoja na Debora; naam, Isakari alikuwa pamoja na Baraka, wakija nyuma yake kwa mbio wakielekea bondeni. Katika jamaa za Reubeni, palikuwa na kujihoji kukubwa moyoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wakuu wa Isakari walikuwa pamoja na Debora. Kama alivyokuwa Isakari, ndivyo alivyokuwa Baraka. Waliingia bondeni kwa kasi miguuni pake. Kwenye vijito vya Reubeni Palikuwa na makusudi makuu mioyoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakuu wa Isakari wakafuatana na Debora, watu wa Isakari waaminifu kwa Baraki; wakamfuata mbio mpaka bondeni. Lakini miongoni mwa koo za Reubeni kulikuwamo kusitasita kwingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakuu wa Isakari wakawa naye Debora, tena kama Isakari vilevile naye Baraka, ndiye aliyejihimiza kwa miguu yake kumkimbilia pale bondeni. Lakini kule kwa vijito vya Rubeni kulikuwa na mambo, ndiyo mashauri ya mioyo yaliyo makuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wakuu wa Isakari walikuwa pamoja na Debora. Kama alivyokuwa Isakari, ndivyo alivyokuwa Baraka. Waliingia bondeni kwa kasi miguuni pake. Kwenye vijito vya Reubeni Palikuwa na makusudi makuu mioyoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakubwa wa Isakari wakafuata Debora, watu wa Isakari, waaminifu kwa Baraka, wakamufuata mbio mpaka katika bonde. Lakini kati ya ukoo za Rubeni kulikuwa kusitasita kwingi.