Judges 5:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa nini walibaki mazizini? Ili kusikiliza milio ya kondoo? Miongoni mwa koo za Reubeni kulikuwamo kusitasita kwingi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini ulikaa katikati ya mazizi ya kondoo kusikiliza sauti ya filimbi zinazoita makundi? Kwa jamaa za Reubeni, palikuwa na kujihoji kukubwa moyoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbona ulikaa katika mazizi ya kondoo, Kusikiliza filimbi zipigwazo ili kuita makundi? Kwenye vijito vya Reubeni Palikuwa na makusudi makuu mioyoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa nini walibaki mazizini? Ili kusikiliza milio ya kondoo? Miongoni mwa koo za Reubeni kulikuwamo kusitasita kwingi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini ulikaa katikati ya mazizi ya kondoo kusikiliza sauti ya filimbi zinazoita makundi? Katika jamaa za Reubeni, palikuwa na kujihoji kukubwa moyoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini ulikaa katikati ya mazizi ya kondoo kusikiliza sauti ya filimbi zinazoita makundi? Kwa jamaa za Reubeni, palikuwa na kujihoji kukubwa moyoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbona ulikaa katika mazizi ya kondoo, Kusikiliza filimbi zipigwazo ili kuita makundi? Kwenye vijito vya Reubeni Palikuwa na makusudi makuu mioyoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa nini walibaki mazizini? Ili kusikiliza milio ya kondoo? Miongoni mwa koo za Reubeni kulikuwamo kusitasita kwingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbona unataka kukaa tu mazizini kwa kondoo? Unataka kusikiliza mazomari yanayopigiwa makundi? Kweli vijitoni kwa Rubeni yako mashauri makuu ya mioyoni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbona ulikaa katika mazizi ya kondoo, Kusikiliza filimbi zipigwazo ili kuita makundi? Kwenye vijito vya Reubeni Palikuwa na makusudi makuu mioyoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini walibaki katika mazizi? Kwa kusikiliza milio ya kondoo? Kati ya ukoo za Rubeni kulikuwa kusitasita kwingi.