Judges 5:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabila la Gileadi lilibaki ngambo ya Yordani. Kabila la Dani, kwa nini mlibaki merikebuni? Kabila la Asheri lilitulia huko pwani ya bahari, lilikaa bandarini mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Gileadi alikaa ng’ambo ya Yordani. Naye Dani, kwa nini alikaa kwenye merikebu siku nyingi? Asheri alikaa kwa utulivu ufuoni mwa bahari, akikaa kwenye ghuba zake ndogo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Gileadi alikaa ng'ambo ya Yordani, Na Dani, mbona alikaa katika merikebu? Asheri alikaa kimya penye bandari ya bahari, Alikaa katika hori zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabila la Gileadi lilibaki ng'ambo ya Yordani. Kabila la Dani, kwa nini mlibaki merikebuni? Kabila la Asheri lilitulia huko pwani ya bahari, lilikaa bandarini mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Gileadi alikaa ng'ambo ya Yordani. Naye Dani, kwa nini alikaa kwenye merikebu siku nyingi? Asheri alikaa kwa utulivu ufuoni mwa bahari, akikaa kwenye ghuba zake ndogo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Gileadi alikaa ng’ambo ya Yordani. Naye Dani, kwa nini alikaa kwenye merikebu siku nyingi? Asheri alikaa kwa utulivu ufuoni mwa bahari, akikaa kwenye ghuba zake ndogo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Gileadi alikaa ng'ambo ya Yordani, Na Dani, mbona alikaa katika merikebu? Asheri alikaa kimya penye bandari ya bahari, Alikaa katika hori zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabila la Gileadi lilibaki ngambo ya Yordani. Kabila la Dani, kwa nini mlibaki merikebuni? Kabila la Asheri lilitulia huko pwani ya bahari, lilikaa bandarini mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wagileadi wakasalia ng'ambo ya Yordani, mbona Wadani nao hukaa ugenini kwenye merikebu? Waaseri nao hukaa tu pwani kwenye bahari, kweli huwa kimya katika bandari zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Gileadi alikaa ng’ambo ya Yordani, Na Dani, mbona alikaa katika merikebu? Asheri alikaa kimya penye bandari ya bahari, Alikaa katika hori zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kabila la Gileadi lilibaki ngambo ya Yordani. Kabila la Dani, kwa nini mulibaki ndani ya mashua? Kabila la Aseri lilitulia kule pembeni ya bahari, lilikaa katika kivuko chake.