Judges 5:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa Zebuluni ni watu waliohatarisha maisha yao katika kifo. Hata wa Naftali walikikabili kifo kwenye miinuko ya mashamba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wa Zabuloni walihatarisha maisha yao, vilevile nao watu wa Naftali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Zabuloni ndio watu waliohatirisha roho zao hata kufa; Nao Naftali mahali palipoinuka kondeni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa Zebuluni ni watu waliohatarisha maisha yao katika kifo. Hata wa Naftali walikikabili kifo kwenye miinuko ya mashamba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wa Zabuloni walihatirisha maisha yao, vile vile nao watu wa Naftali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wa Zabuloni walihatarisha maisha yao, vilevile nao watu wa Naftali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Zabuloni ndio watu waliohatarisha roho zao hadi kufa; Nao Naftali mahali palipoinuka kondeni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa Zebuluni ni watu waliohatarisha maisha yao katika kifo. Hata wa Naftali walikikabili kifo kwenye miinuko ya mashamba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Wazebuluni ni watu wasiojiangalia kufani, Wanafutali nao ndivyo, walivyo kwao mashambani vilimani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Zabuloni ndio watu waliohatirisha roho zao hata kufa; Nao Naftali mahali palipoinuka kondeni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa Zebuluni ni watu waliohatarisha maisha yao katika kifo. Hata wa Nafutali walisogelea kifo kwenye miinuko ya mashamba.