Judges 5:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Huko Taanaki, kando ya chemchemi za Megido, wafalme walikuja, wakapigana; wafalme wa Kanaani walipigana, lakini hawakupata nyara za fedha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wafalme walikuja na kufanya vita; wafalme wa Kanaani walipigana huko Taanaki, karibu na maji ya Megido, lakini hawakuchukua nyara za fedha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wafalme walikuja wakafanya vita, Ndipo wafalme wa Kanaani walifanya vita. Katika Taanaki, karibu na maji ya Megido; Hawakupata faida yo yote ya fedha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Huko Taanaki, kando ya chemchemi za Megido, wafalme walikuja, wakapigana; wafalme wa Kanaani walipigana, lakini hawakupata nyara za fedha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wafalme walikuja na kufanya vita; wafalme wa Kanaani walipigana huko Taanaki karibu na maji ya Megido, lakini hawakuchukua fedha wala nyara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wafalme walikuja na kufanya vita; wafalme wa Kanaani walipigana huko Taanaki karibu na maji ya Megido, lakini hawakuchukua fedha wala nyara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wafalme walikuja wakafanya vita, Ndipo wafalme wa Kanaani walifanya vita. Katika Taanaki, karibu na maji ya Megido; Hawakupata faida yoyote ya fedha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Huko Taanaki, kando ya chemchemi za Megido, wafalme walikuja, wakapigana; wafalme wa Kanaani walipigana, lakini hawakupata nyara za fedha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wafalme wakaja kufika huku, wapige vita; wafalme wa Kanaani ndio waliovipiga kule Taanaki kwenye maji ya Megido, lakini nyara, ijapo ziwe za fedha kidogo tu, hawakuzipata kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wafalme walikuja wakafanya vita, Ndipo wafalme wa Kanaani walifanya vita. Katika Taanaki, karibu na maji ya Megido; Hawakupata faida yo yote ya fedha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kule Tanaki, pembeni ya chemichemi za Megido, wafalme walikuja, wakapigana; wafalme wa Kanana walipigana, lakini hawakuteka feza.