Judges 5:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyota kutoka mbinguni zilishiriki vita, zilifuata njia zao, zilipigana na Sisera.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka mbinguni nyota zilipigana, nyota kutoka njia zake zilipigana na Sisera.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walipigana kutoka mbinguni, Nyota katika miendo yao zilipigana na Sisera.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyota kutoka mbinguni zilishiriki vita, zilifuata njia zao, zilipigana na Sisera.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka mbinguni nyota zilipigana, nyota kutoka katika njia zake zilipigana na Sisera.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka mbinguni nyota zilipigana, nyota kutoka njia zake zilipigana na Sisera.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walipigana kutoka mbinguni, Nyota katika miendo yao zilipigana na Sisera.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyota kutoka mbinguni zilishiriki vita, zilifuata njia zao, zilipigana na Sisera.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Toka mbinguni wametupigania, nyota zilipokuja, zikaziacha njia zao kwa kupigana na Sisera.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walipigana kutoka mbinguni, Nyota katika miendo yao zilipigana na Sisera.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyota kutoka mbinguni zilishiriki vita, zilifuata njia zao zikapigana na Sisera.