Judges 5:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mafuriko ya mto Kishoni yaliwachukua mbali, naam, mafuriko makali ya mto Kishoni. Songa mbele kwa nguvu, ee nafsi yangu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mto wa Kishoni uliwasomba, ule mto wa zamani, mto wa Kishoni. Songa mbele, ee nafsi yangu, kwa ujasiri!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mto ule wa Kishoni uliwachukua, Ule mto wa zamani, mto wa Kishoni. Ee roho yangu, endelea mbele kwa nguvu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mafuriko ya mto Kishoni yaliwachukua mbali, naam, mafuriko makali ya mto Kishoni. Songa mbele kwa nguvu, ee nafsi yangu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mto wa Kishoni uliwasomba, ule mto wa zamani, mto wa Kishoni. Songa mbele, Ee nafsi yangu, kwa ujasiri!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mto wa Kishoni uliwasomba, ule mto wa zamani, mto wa Kishoni. Songa mbele, ee nafsi yangu, kwa ujasiri!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mto ule wa Kishoni uliwachukua, Ule mto wa zamani, mto wa Kishoni. Ee roho yangu, endelea mbele kwa nguvu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mafuriko ya mto Kishoni yaliwachukua mbali, naam, mafuriko makali ya mto Kishoni. Songa mbele kwa nguvu, ee nafsi yangu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kijito cha Kisoni kikawaporomosha, hicho kijito cha Kisoni kilicho kijito cha kale; roho yangu nawe, wakanyage kwa nguvu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mto ule wa Kishoni uliwachukua, Ule mto wa zamani, mto wa Kishoni. Ee roho yangu, endelea mbele kwa nguvu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mafuriko ya muto Kisoni yaliwapeleka mbali, mafuriko makali ya muto Kisoni. Songa mbele kwa nguvu, ee nafsi yangu!