Judges 5:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Abarikiwe kuliko wanawake wote Yaeli, mke wa Heberi, Mkeni. Naam, amebarikiwa kuliko wanawake wote wanaokaa mahemani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Yaeli abarikiwe kuliko wanawake wote, mkewe Heberi, Mkeni, abarikiwe kuliko wanawake wote wanaoishi kwenye mahema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atabarikiwa Yaeli kuliko wanawake wote; Mkewe Heberi, Mkeni, Atabarikiwa kuliko wanawake wote hemani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Abarikiwe kuliko wanawake wote Yaeli, mke wa Heberi, Mkeni. Naam, amebarikiwa kuliko wanawake wote wanaokaa mahemani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Yaeli abarikiwe kuliko wanawake wote, mkewe Heberi, Mkeni, abarikiwe kuliko wanawake wote waishio kwenye mahema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Yaeli abarikiwe kuliko wanawake wote, mkewe Heberi, Mkeni, abarikiwe kuliko wanawake wote waishio kwenye mahema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atabarikiwa Yaeli kuliko wanawake wote; Mkewe Heberi, Mkeni, Atabarikiwa kuliko wanawake wote hemani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Abarikiwe kuliko wanawake wote Yaeli, mke wa Heberi, Mkeni. Naam, amebarikiwa kuliko wanawake wote wanaokaa mahemani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yaeli ndiye atakayetukuzwa kuliko wenzake, mkewe Mkeni Heberi ndiye, watakayemsema mahemani, apate kutukuzwa zaidi kuliko wenzake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atabarikiwa Yaeli kuliko wanawake wote; Mkewe Heberi, Mkeni, Atabarikiwa kuliko wanawake wote hemani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Abarikiwe kuliko wanawake wote Yaeli, muke wa Heberi Mukeni. Amebarikiwa kuliko wanawake wote wanaokaa katika mahema.