Judges 5:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sisera aliinama, akaanguka; alilala kimya miguuni pake. Hapo alipoinama ndipo alipoanguka, amekufa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliinama miguuni pa Yaeli, akaanguka; akalala hapo. Alipoinama miguuni pake, alianguka; pale alipoinamia, ndipo alipoanguka, akiwa amekufa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miguuni pake aliinama, akaanguka, akalala. Miguuni pake aliinama, akaanguka. Hapo alipoinama, ndipo alipoanguka amekufa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sisera aliinama, akaanguka; alilala kimya miguuni pake. Hapo alipoinama ndipo alipoanguka, amekufa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliinama miguuni pa Yaeli, akaanguka; akalala hapo. Pale alipoinama miguuni pake, alianguka; pale alipoinamia, ndipo alipoanguka, akiwa amekufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliinama miguuni pa Yaeli, akaanguka; akalala hapo. Pale alipoinama miguuni pake, alianguka; pale alipoinamia, ndipo alipoanguka, akiwa amekufa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miguuni pake aliinama, akaanguka, akalala. Miguuni pake aliinama, akaanguka. Hapo alipoinama, ndipo alipoanguka amekufa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sisera aliinama, akaanguka; alilala kimya miguuni pake. Hapo alipoinama ndipo alipoanguka, amekufa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miguuni pake akaanguka magotini, kisha akalala, kweli akaanguka magotini miguuni pake; alipopiga magoti, ndipo, alipoanguka, akawa mfu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miguuni pake aliinama, akaanguka, akalala. Miguuni pake aliinama, akaanguka. Hapo alipoinama, ndipo alipoanguka amekufa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sisera akainama, akaanguka; akalala kimya kwenye miguu yake. Hapo alipoinama ndipo alipoanguka amekufa!