Judges 5:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mama yake Sisera alitazama dirishani alichungulia katika viunzi vyake, akalalamika: ‘Kwa nini gari lake limechelewa? Mbona vishindo vya magari yake vimechelewa kusikika?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kupitia dirishani mamaye Sisera alichungulia; nyuma ya dirisha alilia, akasema, ‘Mbona gari lake la vita linachelewa kufika? Mbona vishindo vya magari yake ya vita vimechelewa?’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alichungulia dirishani, akalia, Mama yake Sisera alilia dirishani; Mbona gari lake linakawia kufika? Mbona gurudumu za gari lake zinakawia?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mama yake Sisera alitazama dirishani alichungulia katika viunzi vyake, akalalamika: ‘Kwa nini gari lake limechelewa? Mbona vishindo vya magari yake vimechelewa kusikika?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kupitia dirishani mamaye Sisera alichungulia; nyuma ya dirisha alilia, akasema, ‘Mbona gari lake linachelewa kufika? Mbona vishindo vya magari yake vimechelewa?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kupitia dirishani mamaye Sisera alichungulia; nyuma ya dirisha alilia, akasema, ‘Mbona gari lake linachelewa kufika? Mbona vishindo vya magari yake vimechelewa?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alichungulia dirishani, akalia, Mama yake Sisera alilia dirishani; Mbona gari lake linakawia kufika? Mbona gurudumu za gari lake zinakawia?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mama yake Sisera alitazama dirishani alichungulia katika viunzi vyake, akalalamika: ‘Kwa nini gari lake limechelewa? Mbona vishindo vya magari yake vimechelewa kusikika?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Anachungulia dirishani na kulia kwa sauti kuu, mamake Sisera anachungulia katika vyuma vya dirisha: Mbona gari lake limechelewa kuja? Mbona magurudumu ya magari yake yanakawia hivyo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alichungulia dirishani, akalia, Mama yake Sisera alilia dirishani; Mbona gari lake linakawia kufika? Mbona gurudumu za gari lake zinakawia?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mama ya Sisera akaangalia toka kwenye dirisha, akachungulia, kisha akalalamika: ‘Kwa nini gari lake limechelewa? Mbona vishindo vya magari yake vimechelewa kusikilika?’