Judges 5:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jibu akalipata kwa wanawake wenye hekima: Akajituliza tena na tena kwa jibu hilo:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wajakazi wale wenye busara kuliko wengine wote wanamjibu; naam, naye anasema moyoni mwake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mabibi yake wenye akili wakamjibu, Naam, alijipa nafsi yake jawabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jibu akalipata kwa wanawake wenye hekima: akajituliza tena na tena kwa jibu hilo:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanawake wenye busara kuliko wengine wote wakamjibu; naam, husema moyoni mwake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanawake wenye busara kuliko wengine wote wakamjibu; naam, husema moyoni mwake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mabibi zake wenye akili wakamjibu, Naam, alijipa jawabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jibu akalipata kwa wanawake wenye hekima: Akajituliza tena na tena kwa jibu hilo:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wenzake wakuu wa kike wakamjibu, nao ni werevu wa kweli, naye mwenyewe akajijibu maneno yaleyale ya kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mabibi yake wenye akili wakamjibu, Naam, alijipa nafsi yake jawabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jibu akalipata kwa wanawake wenye hekima: akajituliza tena na tena kwa jibu hilo: