Judges 5:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Sikilizeni, enyi wafalme! Tegeni sikio, enyi wakuu! Nitamwimbia Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Sikieni hili, enyi wafalme! Sikilizeni, enyi watawala! Nitamwimbia Mwenyezi Mungu, nitaimba; kwa wimbo nitamhimidi Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sikieni, enyi wafalme; tegeni masikio, enyi wakuu; Mimi, naam mimi, nitamwimbia Bwana; Nitamhimidi Bwana, Mungu wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Sikilizeni, enyi wafalme! Tegeni sikio, enyi wakuu! Nitamwimbia Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Sikieni hili, enyi wafalme! Sikilizeni, enyi watawala! Nitamwimbia BWANA, nitaimba; kwa wimbo nitamhimidi BWANA, Mungu wa Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sikieni hili, enyi wafalme! Sikilizeni, enyi watawala! Nitamwimbia bwana, nitaimba; kwa wimbo nitamhimidi bwana, Mungu wa Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sikieni, enyi wafalme; tegeni masikio, enyi wakuu; Mimi, naam mimi, nitamwimbia BWANA; Nitamhimidi BWANA, Mungu wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Sikilizeni, enyi wafalme! Tegeni sikio, enyi wakuu! Nitamwimbia Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sikieni, ninyi wafalme! Sikilizeni, ninyi watawalaji! Mimi, mimi mwenyewe na nimwimbie Bwana, na nimshangilie Bwana Mungu wa Isiraeli!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sikieni, enyi wafalme; tegeni masikio, enyi wakuu; Mimi, naam mimi, nitamwimbia BWANA; Nitamhimidi BWANA, Mungu wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikilize, enyi wafalme! Mutege sikio, enyi wakubwa! Nitamwimbia Yawe, Mungu wa Israeli.