Judges 5:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
‘Bila shaka wanatafuta na kugawana nyara; msichana mmoja au wawili kwa kila askari, vazi la sufu ya rangi kwa ajili ya Sisera. Vazi la sufu iliyotariziwa, na mikufu miwili ya nakshi kwa ajili ya shingo yangu!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
‘Je, hawapati na kugawanya nyara: msichana mmoja au wawili kwa kila mtu, mavazi ya rangi mbalimbali kwa Sisera kuwa nyara, mavazi ya rangi mbalimbali yaliyotariziwa, mavazi yaliyotariziwa vizuri kwa ajili ya shingo yangu: haya yote yakiwa nyara?’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Hawakupata mateka na kuyagawanya, Kijakazi, vijakazi wawili, kwa kila mtu? Kwa Sisera nyara ya mavazi ya rangi mbali mbali, Nyara za mavazi ya rangi mbali mbali ya darizi; Ya rangi mbali mbali ya darizi, pande zote mbili, Juu ya shingo za hao mateka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
‘Bila shaka wanatafuta na kugawana nyara; msichana mmoja au wawili kwa kila askari, vazi la sufu ya rangi kwa ajili ya Sisera. Vazi la sufu iliyotariziwa, na mikufu miwili ya nakshi kwa ajili ya shingo yangu!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
‘Je, hawapati na kugawanya nyara: msichana mmoja au wawili kwa kila mtu, mavazi ya rangi mbalimbali kwa Sisera kuwa nyara, mavazi ya rangi mbalimbali yaliyotariziwa, mavazi yaliyotariziwa vizuri kwa ajili ya shingo yangu: yote haya kuwa nyara?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
‘Je, hawapati na kugawanya nyara: msichana mmoja au wawili kwa kila mtu, mavazi ya rangi mbalimbali kwa Sisera kuwa nyara, mavazi ya rangi mbalimbali yaliyotariziwa, mavazi yaliyotariziwa vizuri kwa ajili ya shingo yangu: yote haya yakiwa nyara?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Hawakupata mateka na kuyagawanya, Kijakazi, vijakazi wawili, kwa kila mtu? Kwa Sisera nyara za mavazi ya rangi mbalimbali, Nyara za mavazi ya rangi mbalimbali ya darizi; Ya rangi mbalimbali ya darizi, pande zote mbili, Juu ya shingo za hao mateka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
‘Bila shaka wanatafuta na kugawana nyara; msichana mmoja au wawili kwa kila askari, vazi la sufu ya rangi kwa ajili ya Sisera. Vazi la sufu iliyotariziwa, na mikufu miwili ya nakshi kwa ajili ya shingo yangu!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Labda wameona nyara za kujigawanyia: mwanamwali mmojammoja au wawiliwawili wa kila mtu mmoja, tena ziko nguo za rangi, ndizo nyara zake Sisera, hizo nyara ni nguo za rangi zilizofumwa vizuri, ni nguo za rangi za mbalimbali, ni zenye darizi pande mbili za kupatana na shingo zao walio wenye hizo nyara.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Hawakupata mateka na kuyagawanya, Kijakazi, vijakazi wawili, kwa kila mtu? Kwa Sisera nyara ya mavazi ya rangi mbali mbali, Nyara za mavazi ya rangi mbali mbali ya darizi; Ya rangi mbali mbali ya darizi, pande zote mbili, Juu ya shingo za hao mateka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
‘Bila shaka wanatafuta na kugawanyana vitu: binti mumoja au wawili kwa kila askari, nguo ya sufu ya rangi kwa ajili ya Sisera, nguo ya sufu iliyopindwa vizuri, na mikufu miwili yenye kufumwa kwa ajili ya shingo yangu!’