Judges 6:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli walitenda uovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; naye akawatia mikononi mwa Wamidiani kwa muda wa miaka saba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli wakafanya tena yaliyo maovu mbele za Mwenyezi Mungu, naye Mwenyezi Mungu akawatia mikononi mwa Wamidiani kwa muda wa miaka saba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha wana wa Israeli walifanya yaliyo maovu mbele za macho ya Bwana; Bwana akawatia mikononi mwa Midiani muda wa miaka saba
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli walitenda uovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; naye akawatia mikononi mwa Wamidiani kwa muda wa miaka saba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waisraeli wakafanya tena yaliyo maovu mbele za BWANA, naye kwa miaka saba BWANA akawatia mikononi mwa Wamidiani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waisraeli wakafanya tena yaliyo maovu mbele za bwana, naye kwa miaka saba bwana akawatia mikononi mwa Wamidiani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha wana wa Israeli walifanya yaliyo maovu mbele za macho ya BWANA; BWANA akawatia mikononi mwa Midiani muda wa miaka saba
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli walitenda uovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; naye akawatia mikononi mwa Wamidiani kwa muda wa miaka saba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Isiraeli walipoyafanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana, Bwana akawatia mikononi mwao Wamidiani miaka saba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha wana wa Israeli walifanya yaliyo maovu mbele za macho ya BWANA; BWANA akawatia mikononi mwa Midiani muda wa miaka saba
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli walitenda uovu mbele ya Yawe; naye akawatia katika mikono ya Wamidiani kwa muda wa miaka saba.