Judges 6:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamtokea, akamwambia, “Mwenyezi-Mungu yuko pamoja nawe, ewe shujaa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Malaika wa Mwenyezi Mungu alipomtokea Gideoni, akamwambia, “Mwenyezi Mungu yu pamoja nawe, ewe shujaa mwenye nguvu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Malaika wa Bwana akamtokea, akamwambia, Bwana yu pamoja nawe, Ee shujaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamtokea, akamwambia, “Mwenyezi-Mungu yuko pamoja nawe, ewe shujaa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Malaika wa BWANA alipomtokea Gideoni, akamwambia, “BWANA yu pamoja nawe, Ewe shujaa mwenye nguvu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Malaika wa bwana alipomtokea Gideoni, akamwambia, “ bwana yu pamoja nawe, Ewe shujaa mwenye nguvu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Malaika wa BWANA akamtokea, akamwambia, BWANA yuko pamoja nawe, Ee shujaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamtokea, akamwambia, “Mwenyezi-Mungu yuko pamoja nawe, ewe shujaa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Malaika wa Bwana alipomtokea akamwambia: Bwana yuko pamoja na wewe uliye fundi wa vita mwenye nguvu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Malaika wa BWANA akamtokea, akamwambia, BWANA yu pamoja nawe, Ee shujaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Malaika wa Yawe akamutokea, akamwambia: “Yawe yuko pamoja nawe, ewe shujaa.”