Judges 6:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Gideoni akamwambia, “Basi, ikiwa nimepata fadhili kwako, nioneshe ishara ili nijue kuwa ni wewe kweli uliyezungumza nami.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Gideoni akajibu, “Kama basi nimepata kibali machoni pako, nipe ishara kuonesha kuwa kweli ni wewe unayesema nami.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akamwambia, Kama nimepata kibali mbele za macho yako, basi unionyeshe ishara, ya kuwa ndiwe wewe unayesema nami.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Gideoni akamwambia, “Basi, ikiwa nimepata fadhili kwako, nioneshe ishara ili nijue kuwa ni wewe kweli uliyezungumza nami.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Gideoni akajibu, “Kama basi nimepata kibali machoni pako, nipe ishara kuonyesha kweli kwamba ni wewe unayesema nami.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Gideoni akajibu, “Kama basi nimepata kibali machoni pako, nipe ishara kuonyesha kweli kwamba ni wewe unayesema nami.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akamwambia, Kama nimepata kibali mbele za macho yako, basi unionyeshe ishara, ya kuwa ndiwe wewe unayesema nami.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Gideoni akamwambia, “Basi, ikiwa nimepata fadhili kwako, nioneshe ishara ili nijue kuwa ni wewe kweli uliyezungumza nami.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akamwambia: Kama nimeona upendeleo machoni pako, nipatie kielekezo, nijue, ya kuwa ndiwe wewe unayesema na mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akamwambia, Kama nimepata kibali mbele za macho yako, basi unionyeshe ishara, ya kuwa ndiwe wewe unayesema nami.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Gideoni akamwambia: “Basi, ikiwa nimepata rehema kwako, unionyeshe kitambulisho kusudi nijue kwamba ni wewe kweli uliyezungumuza nami.