Judges 6:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nakuomba usiondoke hapa mpaka nitakaporudi na kukuletea zawadi yangu na kuiweka mbele yako.” Naye akamjibu, “Nitakaa hapa mpaka utakaporudi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tafadhali nakuomba usiondoke hapa hadi nitakaporudi, nilete sadaka yangu na kuiweka mbele yako.” Naye Mwenyezi Mungu akamwambia, “Nitangoja hadi utakaporudi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tafadhali, usiondoke hapa hata nikujie, nikatoe zawadi yangu, na kuiweka mbele zako. Akasema, Nitangoja hata utakaporudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nakuomba usiondoke hapa mpaka nitakaporudi na kukuletea zawadi yangu na kuiweka mbele yako.” Naye akamjibu, “Nitakaa hapa mpaka utakaporudi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tafadhali ninakuomba usiondoke hapa mpaka nitakaporudi na kukuletea sadaka yangu na kuiweka mbele yako.” Naye BWANA akamwambia, “Nitangoja mpaka utakaporudi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tafadhali ninakuomba usiondoke hapa mpaka nitakaporudi na kukuletea sadaka yangu na kuiweka mbele yako.” Naye bwana akamwambia, “Nitangoja mpaka utakaporudi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tafadhali, usiondoke hapa hadi nikujie, nikatoe zawadi yangu, na kuiweka mbele zako. Akasema, Nitangoja hadi utakaporudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nakuomba usiondoke hapa mpaka nitakaporudi na kukuletea zawadi yangu na kuiweka mbele yako.” Naye akamjibu, “Nitakaa hapa mpaka utakaporudi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiondoke hapa, mpaka niingie nyumbani, nikuletee kipaji changu, nikiweke mbele yako. Akasema: Basi, mimi nitakaa, mpaka urudi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tafadhali, usiondoke hapa hata nikujie, nikatoe zawadi yangu, na kuiweka mbele zako. Akasema, Nitangoja hata utakaporudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakuomba usiondoke hapa mpaka nitakaporudi na kukuletea zawadi yangu na kuiweka mbele yako.” Naye akamujibu: “Nitakaa hapa mpaka utakaporudi.”