Judges 6:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Gideoni akatambua kwamba huyo alikuwa malaika wa Mwenyezi-Mungu; akasema, “Ole wangu, ee Bwana Mwenyezi-Mungu, maana nimemwona malaika wako uso kwa uso.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Gideoni alipotambua kuwa ni malaika wa Mwenyezi Mungu, akapaza sauti, akasema, “Ole wangu, Bwana Mungu Mwenyezi! Kwa kuwa nimemwona malaika wa Mwenyezi Mungu uso kwa uso!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Gideoni akaona ya kuwa ni malaika wa Bwana; Gideoni akasema, Ole wangu, Ee Bwana MUNGU! Kwa kuwa nimemwona Bwana uso kwa uso.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Gideoni akatambua kwamba huyo alikuwa malaika wa Mwenyezi-Mungu; akasema, “Ole wangu, ee Bwana Mwenyezi-Mungu, maana nimemwona malaika wako uso kwa uso.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Gideoni alipotambua kuwa ni malaika wa BWANA, akapiga kelele kwa mshangao, akasema, “Ole wangu, BWANA Mwenyezi! Kwa kuwa nimemwona malaika wa BWANA uso kwa uso!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Gideoni alipotambua kuwa ni malaika wa bwana, akapiga kelele kwa mshangao, akasema, “Ole wangu, bwana Mwenyezi! Kwa kuwa nimemwona malaika wa bwana uso kwa uso!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Gideoni akaona ya kuwa ni malaika wa BWANA; Gideoni akasema, Ole wangu, Ee Bwana MUNGU! Kwa kuwa nimemwona BWANA uso kwa uso.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Gideoni akatambua kwamba huyo alikuwa malaika wa Mwenyezi-Mungu; akasema, “Ole wangu, ee Bwana Mwenyezi-Mungu, maana nimemwona malaika wako uso kwa uso.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Gideoni alipoona, ya kuwa yeye alikuwa malaika wa Bwana; kwa hiyo Gideoni akasema: Limenipata, Bwana Mungu! Kwa kuwa nimemwona malaika wa Bwana uso kwa uso!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Gideoni akaona ya kuwa ni malaika wa BWANA; Gideoni akasema, Ole wangu, Ee Bwana MUNGU! Kwa kuwa nimemwona BWANA uso kwa uso.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Gideoni akatambua kwamba huyo alikuwa malaika wa Yawe; akasema: “Ole wangu, ee Bwana wangu Yawe, maana nimemwona malaika wako uso kwa uso.”