Judges 6:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Amani iwe nawe! Usiogope, hutakufa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Mwenyezi Mungu akamwambia, “Amani iwe kwako! Usiogope. Hutakufa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akamwambia Amani iwe pamoja nawe; usiogope; hutakufa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Amani iwe nawe! Usiogope, hutakufa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini BWANA akamwambia, “Amani iwe kwako! Usiogope. Hutakufa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini bwana akamwambia, “Amani iwe kwako! Usiogope. Hutakufa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akamwambia “Amani iwe pamoja nawe; usiogope; hutakufa”.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Amani iwe nawe! Usiogope, hutakufa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Bwana alipomwambia: Tengemana tu! Usiogope! Hutakufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akamwambia Amani iwe pamoja nawe; usiogope; hutakufa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yawe akamwambia: “Amani ikuwe nawe! Usiogope, hautakufa.”