Judges 6:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakaulizana, “Nani amefanya jambo hili?” Walipofanya uchunguzi wakagundua kwamba Gideoni mwana wa Yoashi ndiye aliyekuwa amefanya hayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaulizana, “Ni nani aliyetenda mambo haya?” Walipochunguza kwa makini, wakaambiwa, “Ni Gideoni mwana wa Yoashi, ndiye alitenda hivi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaambiana, Ni nani aliyetenda jambo hili? Hata walipotafuta habari na kuuliza, wakasema, Gideoni, mwana wa Yoashi, ndiye aliyetenda jambo hili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakaulizana, “Nani amefanya jambo hili?” Walipofanya uchunguzi wakagundua kwamba Gideoni mwana wa Yoashi ndiye aliyekuwa amefanya hayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaulizana, “Ni nani aliyetenda mambo haya?” Walipochunguza kwa makini, wakaambiwa, “Ni Gideoni mwana wa Yoashi, ndiye aliyetenda hivi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaulizana, “Ni nani aliyetenda mambo haya?” Walipochunguza kwa makini, wakaambiwa, “Ni Gideoni mwana wa Yoashi, ndiye alitenda hivi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaambiana, Ni nani aliyetenda jambo hili? Walipotafuta habari na kuuliza, wakasema, Gideoni, mwana wa Yoashi, ndiye aliyetenda jambo hili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakaulizana, “Nani amefanya jambo hili?” Walipofanya uchunguzi wakagundua kwamba Gideoni mwana wa Yoashi ndiye aliyekuwa amefanya hayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaulizana kila mtu na mwenzake: Ni nani aliyelifanya jambo hili? Walipotafuta hivyo na kuchunguza mwisho wakasema: Gideoni, mwana wa Yoasi, amelifanya jambo hili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaambiana, Ni nani aliyetenda jambo hili? Hata walipotafuta habari na kuuliza, wakasema, Gideoni, mwana wa Yoashi, ndiye aliyetenda jambo hili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaulizana: “Ni nani amefanya jambo hili?” Walipofanya uchunguzi wakagundua kwamba ni Gideoni mwana wa Yoasi ndiye aliyekuwa amefanya hayo.