Judges 6:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wamidiani, Waamaleki na watu wote wanaokaa kando ya mto Yordani wakapiga kambi zao katika bonde la Yezreeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Wamidiani wote, Waamaleki na mataifa mengine ya mashariki wakaunganisha majeshi yao, wakavuka ng’ambo ya Yordani na kupiga kambi katika Bonde la Yezreeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati huo Wamidiani na Waamaleki, na hao wana wa mashariki walikutana pamoja; wakavuka na kupanga hema zao katika bonde la Yezreeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wamidiani, Waamaleki na watu wote wanaokaa kando ya mto Yordani wakapiga kambi zao katika bonde la Yezreeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Wamidiani wote, Waamaleki na mataifa mengine ya mashariki wakaunganisha majeshi yao, wakavuka ng'ambo ya Yordani na kupiga kambi katika Bonde la Yezreeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Wamidiani wote, Waamaleki na mataifa mengine ya mashariki wakaunganisha majeshi yao, wakavuka ng’ambo ya Yordani na kupiga kambi katika Bonde la Yezreeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati huo Wamidiani na Waamaleki, na hao wana wa mashariki walikutana pamoja; wakavuka na kupanga hema zao katika bonde la Yezreeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wamidiani, Waamaleki na watu wote wanaokaa kando ya mto Yordani wakapiga kambi zao katika bonde la Yezreeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wamidiani na Waamaleki na wengine waliokaa upande wa maawioni kwa jua walipokusanyika wote pamoja, wakavuka, wakaja kupiga makambi bondeni kwa Izireeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati huo Wamidiani na Waamaleki, na hao wana wa mashariki walikutana pamoja; wakavuka na kupanga hema zao katika bonde la Yezreeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wamidiani, Waamaleki na watu wote wanaokaa pembeni ya muto Yordani wakapiga kambi zao katika bonde la Yezereheli.