Judges 6:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini roho ya Mwenyezi-Mungu ikamjia Gideoni. Gideoni akapiga tarumbeta kuwaita Wabiezeri waje kumfuata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Roho wa Mwenyezi Mungu akamjia Gideoni, naye Gideoni akapiga tarumbeta kuwaita Waabiezeri ili wamfuate.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini roho ya Bwana ikaja juu yake Gideoni; naye akapiga tarumbeta; na Abiezeri walikutanika na kumfuata.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini roho ya Mwenyezi-Mungu ikamjia Gideoni. Gideoni akapiga tarumbeta kuwaita Wabiezeri waje kumfuata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Roho wa BWANA akamjia Gideoni, akapiga tarumbeta, akiwaita Waabiezeri ili wamfuate.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Roho wa bwana akamjia Gideoni, akapiga tarumbeta, akiwaita Waabiezeri ili wamfuate.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Roho ya BWANA ikamjia juu yake Gideoni; naye akapiga tarumbeta; na Abiezeri walikutanika na kumfuata.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini roho ya Mwenyezi-Mungu ikamjia Gideoni. Gideoni akapiga tarumbeta kuwaita Wabiezeri waje kumfuata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, roho ya Bwana ilipomjaa Gideoni; alipopiga baragumu, wa Abiezeri wakaitikia na kumfuata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini roho ya BWANA ikaja juu yake Gideoni; naye akapiga tarumbeta; na Abiezeri walikutanika na kumfuata.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini roho wa Yawe akamujaza Gideoni. Gideoni akapiga baragumu kwa kuwaita Waabiezeri wakuje kumufuata.