Judges 6:35 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akatuma wajumbe katika nchi yote ya Manase waje kumfuata. Wajumbe wengine akawatuma kuwaita watu wa makabila ya Asheri, Zebuluni na Naftali, nao wakaja kujiunga naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatuma wajumbe waende katika Manase yote, akiwataka wachukue silaha na pia katika Asheri, Zabuloni na Naftali, nao wakakwea ili kukutana nao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akatuma wajumbe waende kati ya Manase yote; wao nao walikutana pamoja ili kumfuata; kisha akatuma wajumbe waende kwa Asheri, na kwa Zabuloni, na kwa Naftali; nao wakakwea ili kumlaki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akatuma wajumbe katika nchi yote ya Manase waje kumfuata. Wajumbe wengine akawatuma kuwaita watu wa makabila ya Asheri, Zebuluni na Naftali, nao wakaja kujiunga naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatuma wajumbe waende katika Manase yote, akiwataka wachukue silaha na pia katika Asheri, Zabuloni na Naftali, nao wakakwea ili kukutana nao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatuma wajumbe waende katika Manase yote, akiwataka wachukue silaha na pia katika Asheri, Zabuloni na Naftali, nao wakakwea ili kukutana nao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akatuma wajumbe waende kati ya Manase yote; wao nao walikutana pamoja ili kumfuata; kisha akatuma wajumbe waende kwa Asheri, na kwa Zabuloni, na kwa Naftali; nao wakakwea ili kumlaki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akatuma wajumbe katika nchi yote ya Manase waje kumfuata. Wajumbe wengine akawatuma kuwaita watu wa makabila ya Asheri, Zebuluni na Naftali, nao wakaja kujiunga naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akatuma wajumbe katika nchi yote ya Manase, nao wakaitikia na kumfuata. Hata katika nchi za Aseri na za Zebuluni na za Nafutali akatuma wajumbe, nao wakapanda kuja kuwakuta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akatuma wajumbe waende kati ya Manase yote; wao nao walikutana pamoja ili kumfuata; kisha akatuma wajumbe waende kwa Asheri, na kwa Zabuloni, na kwa Naftali; nao wakakwea ili kumlaki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akatuma wajumbe katika inchi yote ya Manase wakuje kumufuata. Wajumbe wengine akawatuma kuwaita watu wa makabila ya Aseri, Zebuluni na Nafutali, nao wakakuja kujiunga naye.