Judges 6:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Gideoni akamwambia Mungu, “Ikiwa utaikomboa Israeli kwa mkono wangu kama ulivyosema,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Gideoni akamwambia Mungu, “Kama utawaokoa Waisraeli kwa mkono wangu, kama ulivyoahidi:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Gideoni akamwambia Mungu, Ikiwa wewe utawaokoa Israeli kwa mkono wangu, kama ulivyosema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Gideoni akamwambia Mungu, “Ikiwa utaikomboa Israeli kwa mkono wangu kama ulivyosema,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Gideoni akamwambia Mungu, “Kama utawaokoa Waisraeli kwa mkono wangu, kama ulivyoahidi:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Gideoni akamwambia Mungu, “Kama utawaokoa Waisraeli kwa mkono wangu, kama ulivyoahidi:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Gideoni akamwambia Mungu, Ikiwa wewe utawaokoa Israeli kwa mkono wangu, kama ulivyosema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Gideoni akamwambia Mungu, “Ikiwa utaikomboa Israeli kwa mkono wangu kama ulivyosema,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Gideoni akamwambia Mungu: Ikiwa, unataka kuwaokoa Waisiraeli kwa kuitumia mikono yangu, kama ulivyosema,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Gideoni akamwambia Mungu, Ikiwa wewe utawaokoa Israeli kwa mkono wangu, kama ulivyosema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Gideoni akamwambia Mungu: “Ikiwa utaikomboa Israeli kwa mukono wangu kama ulivyosema,